Chakula Cha Pamoja (Potluck lunch)
Idara ya maburudisho inawakumbusha washiriki wote kwamba
Sabato ya tarehe 22 Augosti 2009, kutakuwa na chakula cha
pamoja (Portluck). Yafuatayo ndiyo mahitaji ya siku hiyo:
Wakina mama na Wasichana
-Mnaombwa kuleta chakula kama mlivyopangiana.
Wakina baba na wavulana
-Mnaombwa kuleta matunda, vifaa vya kulia (disposables)-
Sahani, vijiko, uma, visu, karatasi za mezani (napkins),vinywaji,
Maji,
Kama hauna usafiri wa kuvileta vitu hivyo wasiliana na
Bernard Chisumo: +44 (0)787 612 6862 au +44 (0)118 946 3899